Recent Post

Side Add

No available add

Maamuzi ya mazishi ya Miili ya mapacha walioungana  Maria na Consolata yametolewa ambapo wanatarajia kuzikwa siku ya Jumatano

Maamuzi ya mazishi ya Miili ya mapacha walioungana  Maria na Consolata yametolewa ambapo wanatarajia kuzikwa siku ya Jumatano katika Makaburi ya Masister yaliyopo katika eneo la Tosamaganga mara baada ya kikao cha muda baina ya Serikali, Shirika la Maria wa Consolat na Chuo ambako wamekuwa wakisoma kukutana kujadili mstakabali wa mazishi hayo.

Related Posts you may like

Popular Post

Side Add

No available add