Recent Post

Side Add

No available add

Mafuriko jijidi Dar-Es-Salam

Alis

Wakati serikali inaaanda fedha za kuweza kurekebisha miundombinu ya kwenye mabonde ili kuwezesha maji kupita katika njia zake,waziri mkuu Kasimu majaliwa amewataka wakazi wanaokaa kwenye mabonde hususani wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliokumbwa na mafuriko kuhama mara moja ili kuepuka madhara zaidi yatokanayo na mvua.
 

Related Posts you may like

Popular Post

Side Add

No available add