Recent Post

Side Add

No available add

Kufuatia taarifa ya kuibuka kwa mlipuko wa ugonjwa wa Ebola katika nchi jirani ya Jamhuri

Kufuatia taarifa ya kuibuka kwa mlipuko wa  ugonjwa wa Ebola katika nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema serikali imechukua tahadhari ya kutosha na amewataharisha watanzania kuwa makini na wageni wanaoingia nchini hasa mikoa iliyo katika mwambao wa ziwa Tanganyika na Dar es Salaam.

Related Posts you may like

Popular Post

Side Add

No available add