Recent Post

Side Add

No available add

ZENJ TV KUSHIRIKIANA NA CCTV +

MUHAMMED KHATIB

Kampuni ya Zanzibar Media Corporation Ltd imesaini mkataba wa mashirikiano na televisheni ya China ya CCTV + Pichani hapo juu ni Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Zanzibar Media Corporation Ltd ya Zanzibar inayomiliki vituo vya Zenj fm na Zenj TV akiwa amesimama mbele ya bango la kuwekea saini mkataba wa ushirikiano kati ya Zenj Tv na CCTV+ ya nchini China  26/06/2018. Sherehe hiyo ilishuhudiwa na washiriki zaidi ya mia mbili wakiwemo mawaziri kutoka Afrika. Nembo ya Zenj Tv kama inavyonekana kwenye bango.

Related Posts you may like

Popular Post

Side Add

No available add