Latest News

Recent Post

Side Add

No available add

Wabunge wamelalamikia kupunguzwa kwa bajeti ya wizara ya kilimo wakidai wakulima nchini wataendelea kudidimizwa .

Wabunge wamelalamikia kupunguzwa kwa bajeti ya wizara ya kilimo wakidai wakulima nchini wataendelea kudidimizwa .
Hayo yamejiri wakati wizara hiyo ikiwasilisha bungeni bajeti yake na kuliomba bunge kuidhisha bajeti ya zaidi ya shilingi bilioni 170.2

Related Posts you may like

Side Add

No available add