Recent Post

Side Add

No available add

Hali ya haki za binadamu duniani si shwari

ALI MFAKI

Kamishna Mkuu wa haki za binadamu kwenye Umoja wa Mataifa Zeid Ra’ad Al Hussein amehutubia kikao cha 38 cha Baraza la haki za binadamu huko Geneva, Uswisi na kusema kuwa hali ya haki hizo duniani kote sasa si shwari.

Related Posts you may like

Popular Post

Side Add

No available add