Recent Post

Side Add

No available add

Waziri wa Nchi tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) Suleimani Jafo,

Waziri wa Nchi tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) Suleimani Jafo, ameagiza kufungwa kwa mifumo ya kielektroniki katika vituo vyote vya afya na hospitali za wilaya hapa Nchini, kwa ajili ya kuboresha  ukusanyaji wa mapato

Related Posts you may like

Popular Post

Side Add

No available add