Recent Post

Side Add

No available add

Hadithi za wakimbizi wanaorejea kutoka Libya zitatia uchungu

MUHAMMED KHATIB

Kamishina mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya wakimbizi Filippo Grandi, amesafiri usiku kucha hadi nchini Niger akiambatana na wakimbizi zaidi ya 100 wengi wakiwa wanawake na watoto, waliosafirishwa kutoka kwenye kituo walichokuwa wanashikiliwa nchini Libya.

Related Posts you may like

Popular Post

Side Add

No available add