Recent Post

Side Add

No available add

Wizara Ya Afya, Kupitia Kwa Naibu Waziri Wake, Faustine Ndugulile, Ametoa Tamko La Serikali Kuhusu  ugonjwa wa Ebola,

Wizara Ya Afya, Kupitia Kwa Naibu Waziri Wake, Faustine Ndugulile, Ametoa Tamko La Serikali Kuhusu  ugonjwa wa Ebola, ambapo amethibitisha kwamba mpaka sasa, ugonjwa huo bado haujaripotiwa nchini na kwamba chombo cha habari kilichochapisha kuhusu ugonjwa huo, kimetakiwa kukanusha taarifa hizo.

Waziri Ndugulile ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari, ambapo ametoa ufafanuzi wa kina kuhusu ugonjwa huo na jinsi ulivyoiathiri nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
 

Related Posts you may like

Popular Post

Side Add

No available add